Habari

Chogelo, Ilala inamfaa sana, ni lazima upeleke mtu Mature wa kufanya kazi -Rais Magufuli (+Video)

“Kwa kawaida unapopeleka DC kwenye Miji mikubwa kama Dar es Salama, huyu Chogelo ana experience ya kupitiliza, naomba niseme Ilala inamfaa sana, na amefanya kazi zake vizuri ana miaka 56 ni lazima upeleke Ilala mtu Mature wa kufanya kazi” – Rais Magufuli

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents