Burudani

Chris Rock kusherehesha tuzo za Oscar 2016

Mchekeshaji na muigizaji wa Marekani Chris Rock, ametajwa kuwa host wa tuzo za Oscar mwezi February mwakani.

2011-topic-celeb-chris-rock

Hiyo itakuwa mara ya pili kusherehesha tuzo hizo za filamu zinazoheshimika kuliko zote duniani.

Tuzo hizo zitatolewa February 28 jijini Los Angeles. Mara ya kwanza Rock alihost tuzo hizo mwaka 2005.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents