Burudani

Picha: Khloe Kardashian naye apiga picha ya utupu kwenye cover la kitabu chake ‘Strong Looks Better Naked’ (18+)

Picha za utupu kwaajili ya majarida imekuwa ni kama fashion kwa mastaa wengi wa Marakeni, ambao hawaoni shida kupose utupu mbele ya camera na picha hizo kuja kuonwa na ulimwengu mzima.

khloe-kardashian-nude

Style ya picha za bila nguo pia imeendelea kutawala kwenye familia ya The Kardashians.

Mdogo wake na Kim Kardashian, Khloe anakuja na kitabu chake ‘Strong Looks Better Naked’ ambacho cover yake ina picha yake akiwa mtupu.

Kitabu hicho kinazungumzia mambo mbalimbali zikiwemo tips za maisha, pia mahusiano yake na mume wake Lamar Odom. Kuhusu ndoa yake ameelezea sababu zilizopelekea kudai talaka ni kutokana na mume wake kuwa mlevi wa pombe na matumizi ya dawa za kulevya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents