Burudani
Clouds Plus Presenter Search 2018: Zungu ana kipaji cha hali ya juu (Video)
Jaji Mkuu wa mashindano ya Clouds Plus Presenter Search, Devotha Mayunga amefunguka kuzungumzia namna mchakato ulivyofanyika mpaka kupatikana mshindi, Zungu Galilaya.