Habari

DC Handeni afafanua mipango ya kutatua changamoto za maji (+Video)

Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga Mhe.Toba Nguvila  amekiri uwepo wa changamoto ya upatikanaji wa maji katika Wilaya ya Handeni mkoani Tanga. Akizungumza katika mahojiano maalumu na mtangazaji wa @bongofive baada ya kuzindua mradi wa maji katika Kijiji cha Pozo kata ya Kwamsisi  tarafa ya Kwamsisi wilayani Handen akiwa kama mgeni rasmi kwenye mradi wenye gharama ya zaidi ya shiling million 199.1 ambao umefadhiliwa na shirika la @worldvisionhongkong kwa usimamizi wa @worldvisiontz Mhe Toba amesema kuwa Wilaya ya Handeni ni Wilaya inayokabiliwa na changamoto hiyo kama ilivyo maeneo mengine ya Tanzania.

Aidha Mhe Toba amendelea kusema kwamba sio Kama maji hakuna kabisa katika Wilaya yake, maji yapo lakini bado kuna baadhi ya maeneo yanakumbwa na changamoto hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents