Michezo

UCHAMBUZI: Messi na Panenka yake, kipigo cha Man City Vs Lyon Abbas Pira afunguka (+Video)

Kufuatia kipigo cha magoli 3 – 1 alichopata Manchester City mbele ya vijana wadogo Lyon ni hishara kuwa miamba hiyo ya soka kutoka England haina bahati na Kombe la UEFA Champions League ?. Mchambuzi Abbas Pira afunguka na kutukumbushia zama za fundi wa mpira Ronaldinho bila kumsahau Messi na Panenka yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents