Michezo

Mchango wa Bernard Morrison CAF Champions League – Abbas Pira (+Video)

Baada ya sakata la Usajili wa Bernard Morrison kufikia tamati wadau mbalimbali wa soka wanajaribu kuangazia msaada wa nyota huyo atakao utoa kwa waajiri wake wapya Simba SC katika michuano ya kimataifa ikiwemo CAF Champions League. Abbas Pira anajaribu kuangazia uwezo wake na mchango wake kwa Simba Ligi Kuu na ile michuano ya CAF Champions League

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents