Habari

DC Jokate afunguka kutumbuliwa UVCCM ‘sikupwaya UVCCM nisingekuwa hapa’ (Video)

Kwa mara ya kwanza DC wa Kisarawe Jokate Mwegelo amefunguka kwa kudai sio kweli kwamba alitumbuliwa na UVCCM kwa madai kwamba alipwaya nafasi hiyo. “Sio kweli sikupwaya, nisingekuwa hapa” . DC huyo hapo awali alikuwa ameteuliwa na Umoja wa Vijana CCM kuwa mwenyekiti wao lakini baada ya muda mfupi ulitumbuliwa kwa madai alipwaya katika nafasi hiyo.

Related Articles

5 Comments

  1. Taarifa za wakati zilizoripotiwa wakati ‘ukienguliwa’ kwenye ile nafasi uliyokuwa unakaimu ya ukuu wa idara au kitengo cha chipukizi ilisema kuwa ulipewa muda wa kutosha ili wahusika waone utendaji wako sasa umma ukajuzwa kuwa ‘haukutosha’ kwenye ile nafasi. Nadhani aliyekuwa bosi wako sijui Shaka nani huko huko ndiye aliyeitoa taarifa ya kuondolewa kwako. Halafu kwa nini ususeme toka wakati huo baada ya ‘kuenguliwa’ ndio unasema sasa mara baada ya kupata nafsi nyingine sehemu?!

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents