Diamond aachia video ya ngoma yake na Koffi Olomide ‘Waah’ ( + Video)

msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya WCB Diamond Platnumz leo ameachia video ya ngoma yake mpya ya Waah aliyomshirikisha msanii kutoka Congo Koffi Olomide.

Video hiyo imefanywa na Director Kenny kutoak Zoom production na Audio ikifanywa na Producer Laizer Classic kutoak hapo hapo Wasafi

Related Articles

Back to top button
Close