Diamond Platnumz
Diamond asema leo atamtambulisha ampendae
Kupitia ukurasa wake wa Instagram staa huyo wa Bongo Fleva na mkurugenzi wa Wasafi media Diamond Platnumz ameandika kuwa.
“Leo panapo majaliwa namtambulisha nimpendaye, niliezama kwenye huba na kuridhia nae”
Kama bado hujaitazama interview ya Ibraah hii hapa chini.