Habari

Diamond atangaza kuachia wimbo mpya baada ya mapokezi makubwa ya Yatapita na Zuweza

 

Rais wa WCB amesema wimbo mpya upo njiani kwani mapokezi ya nyimbo zake mbili Yatapita na Zuwena yamemshangaza.

Yatapita kupitia mtandao wa YouTube imeangaliwa mara Milioni 8. 3 huku Zuwena ikiangaliwa mara Milioni 5 ndani ya siku tano.

Baada ya mapokezi hayo mazuri, muimbaji huyo ambaye alitangaza balaa mwaka huu ametoa taarifa hii .

“Inahitaji Nguvu, Baraka, Upendo mkubwa na
Sapport kubwa toka kwa watu, Kutoa wimbo na
kukaa siku tatu haujapost chochote kwenye Page
yako mbele, No Machallenge wala chochote mbele kupush wimbo, Halaf kila siku wimbo ukazidi kuendelea kufanya Vyema….. Hakika Mashabiki zangu mnanipa faraja, nyinyi ni zaidi ya Mashabiki kwangu, Nyinyi ni Familia Yangu, na Nawashkuru kwa kila Support, Upendo na jema mlitendalo kwangu Vyote Naviona na Niwaambie Huu Mwaka Ni vyuma juu ya Nondo! #SwahiliNation
#Wasafi,” aliandika Diamond

Written by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents