BurudaniDiamond PlatnumzVideos

Diamond awamwagia sifa Vanessa Mdee na Navy Kenzo (Video)

Diamond Platnumz amewamwagia sifa Vanessa Mdee na kundi la Navy Kenzo.

sifa

Kwenye mahojiano niliyofanya naye hivi karibuni jijini Lagos, Nigeria, hitmaker huyo wa Salome amesema wasanii hao wanajituma na wanajua wanachokitaka.

“Mimi ni watu ambao kiukweli nisiwe mnafiki nafurahi wanachokifanya kwasababu naona kabisa ni mtu anafanya kitu ana lengo afike mbali na sio kufanya kitu aonekane tu kuwa namkomesha mtu fulani au mimi ni bora kuliko mfu fulani,” amesema Diamond.

“Kwasababu ukionesha unataka kuwa bora kuliko fulani kiwango chako kinakuwa pale pale unabaki kuwa bendera unamfuata mtu fulani. Na ndio maana ukiwaona kama akina Navy Kenzo akina Vanessa wanazidi kupata nafasi zaidi sababu wanafikiria target kubwa,” ameongeza.

Tazama interview nzima hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents