Diamond awapa onyo madada, Msiseme tupo kwenye mahusiano ya kimapenzi , ntakutoa nishai mtandaoni (+Audio)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Pltanumz ameamua kutoa ya moyoni kupitia mtandao wake wa instagram kwa kuwapa onyo madada wanaodai wametembea nao kimahusiano ya kimapenzi.

Diamond ameamua kutoa kauli hii baada ya madada wengi kujitokeza kwenye mitandao wakidai kutembea nae na tayari wengine wanaujauzito na wengien wana watoto tayari.

Kupitia Instastori yake ameansika kuwa:- “Nashukuru sana kwa upendo mkubwa wa madada mbalimbali ambao unazidi kuongezeka siku hadi siku juu yangu……Nawathamini na nawapenda zaidi. ila tafadhali kama unajua hatujawahi na wala hatuna mahusiano ya kimapenzi usiseme tunamahusiano maana haikai vyema na pia kiubinadamu sio sawa kwa mimi sasa hivi nianze kumtoa mtu nishai mtandaoni nawapenda sana na nawashukuru kwa support kubwa mnayonipa”

Related Articles

Back to top button