Diamond Platnumz athibitisha collabo yake na G Nako, Mashine yetu ikitoka watatapika

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa WCB n Wasafi media kwa ujumla Diamond Platnumz amethibitisha kuwa na collabo na G Nako kutoka kundi la Weusi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond amethibitisha hilo baada ya G Nako kuweka Comment yake kwenye Post ya Diamond ambayo alipost show yake ya Malawi ambapo watu waliohudhuria walikuwa wakiitikia ngoma za Diamond kwa Kiswahili na G Nako aliandika kuwa:

“Malawi wanamwagika Kiswahili tupo vizuri”

Baada ya muda Diamond aliirudia Cooment hiyo ya G Nako n akujibu kuwa

“Nawaza ile mashine yetu ikitoka watakavyotapika huku”

Related Articles

Back to top button