Burudani

Dina Marios: Mimi na baby wangu Ncha Kalih tumeingia rasmi kwenye dunia ya uzazi, wapata mtoto wa kiume (Picha)

Hiki ni kipindi cha furaha kwa mtangazaji wa kipindi cha ‘Leo Tena’ cha Clouds FM Dina Marios, ambaye baada ya kutosikika kwa kipindi kirefu kutokana na kuwa mjamzito amefanikiwa kujifungua mtoto wa kiume.

dina m
Dina Marios

Dina ameshare picha ya mtoto wake ambaye yeye na mzazi mwenzake Reuben Ndege aka Ncha Kalih wamempa jina la Zion, na kuandika:

zion
Mtoto wa Dina Marious na Reuben Ndege ‘Zion’

“Na ataitwa jina lake,Zion!…thank you lord and wote kwa sala na dua zenu.Mimi na baby wangu @nchakalih tumeingia rasmi kwenye dunia ya uzazi.”

Nchakalih na Dina Marios
Baba na mama Zion

Upande wa Ncha Kalih naye hakukosa kitu cha kumwambia baby mama wake:

Ncha kali

Tunawapa hongera sana Reuben Ndege na Dina Marios kwa kupata mtoto.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents