Burudani
Diva Loveness ndani ya yellow Hot or Not?
Muda umepita tangu tusikie habari kubwa kuhusiana na Diva Loveness. Tunafahamu kuwa ni shabiki mkubwa ya timu ya Yanga hivyo rangi ya njano kwake ni kitu anachokipenda.
Hizi ni picha alizoamua kushare na wasomaji wa website yake. So wewe kuwa jaji, Diva ni hot or not?