Habari

Dj Gibbzy afungua mwaka kivingine

Msanii wa muziki na Dj @djgibbzy ameachia wimbo wake wa kwanza mwaka huu “Squeeze”

Amesema mwaka huu aachia ngoma mfululizo zenye hadhi ya kimataifa huku akiwataka mashabiki wa muziki kukaa mkao wa kula.

Unapatikana Kwenye digital platforms zote. Stream & Watch!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents