Burudani

Drake azungumzia tetesi za kuandikiwa mashairi kwa mara ya kwanza

Drake ameamua kuvunja ukimya wake kwa kufanya mahojiano ya kwanza katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.

fader-drake

Rapper huyo amekava jarida la The Fader toleo la 100.

Kwenye mahojiano hayo, Drake amezungumzia tetesi za kuandikiwa maishari, beef yake na Meek Mill na mengine.

Kuhusu kuandikiwa mashairi alisema:

Nahitaji wakati mwingine, watu kuchochea wazo ili niendelee nalo. Sijali hilo. Na hizo recordings—ndivyo zilivyo. Na unaweza kutumia hukumu yako mwenyewe ya namna zinavyomaanisha kwako. Kama nitakuwa chombo cha mazungumzo haya kuletwa —unajua Mungu hapendi tukianza kuongea kuhusu kuandika na marejeo na nani anachukua nini kutoka wapi— Niko sawa kuwa mimi.. ni muziki tu na wakati mwingine huwa ni mchakato wa ushirikiano. Nani amekuja na hii nani amekuja na lile—kwangu mimi ni kama najua inanihitaji mimi kumaliza kila single niliyofanya hadi sasa. Sioni aibu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents