Burudani

Ex wa Ludacris aponda ndoa yake na Eudoxie, asema ni ujanja wa kutaka kumchukua mtoto waliyezaa

Wakati Ludacris na mke wake Eudoxie, raia wa Gabon wanaendelea kufurahia fungate lao, mwanamke aliyezaa na rapper huyo, Tamika Fuller amedai kuwa mzazi mwenzie huyo amefunga ndoa ili kujiwekea mazingira ya kumchukua mtoto wao.

luda

Luda na Tamika wana mtoto wa kike mwenye mwaka mmoja aitwaye, Cai.

Tamika anahofia kuwa nyumba yenye furaha ya Ludacris itampa sifa mahakamani ya kupewa ruhusa ya kukaa na mtoto huyo.

Kwa mujibu wa TMZ, Tamika anaamini kuwa Luda atakuwa na wakati mwepesi wa kuthibitisha kuwa ana mazingira yanayoeleweka na yanamfaa mtoto kuliki yale yenye mama peke yake.

Kwa sasa Ludacris humlipa Tamika $7,000 kila mwezi kama child support.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents