Burudani

EXCLUSIVE: Diva afunguka ishu ya kuomba msaada wa mil. 15 kwa Watanzania, adai atanunua sperms hata za Neymar, akiri kuumizwa na Zamaradi na Mobetto (+video)

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse amefunguka A-Z ishu yake ya kuomba msaada wa milioni 15, amzungumzia Hamisa Mobetto na Zamaradi Mketema pamoja na kununua mbegu za kiume za Wabongo.

 

Related Articles

91 Comments

  1. C alirudishaga mahari hyu yaan we Kaka uliyerudishiwa mahar una Mung maana ona ungeoa matatizo Jamanii kila kitu kimepanga na mung ukiona boy Au dem wako amekupga chin uclaumu Sana Mung kakuepusha na malaana

  2. Nc ur speech. Ila kuhusu kupandikizwa ungefanya siri. Wabongo wana maneno machafu sana au waafrika NA hata baadhi ya wazungu pia . WANGAPI HUPANDIKIZWA LAKINI HUFANYA SIRI. ILITAKIWA PUUUH””” TAYARI TUNAKUONA NA MIMBA NA MWENYE MIMBA AU MTOTO UNGEJUA WW NA UR BOYFRIEND. I THINK..INGEKUWA NICE. NARUDIA WABONGO WATAMPA WAKATI MGUMU SANA HUYO MTOTO WA KUPANDIKIZWA SPERMS. IWE WA NEIYMAR AU 2PAC au Hitler NA Iddi amini . yeah””” c sperms . inawezekana. Kwa sababu jamaa wana mbegu mpaka za marehemu. Ndio msikatae””” So najaribu kuufikiria ujio WA huyu MTT. Naona km Atapata tabu sana ingawa atapata malezi mazuri from mama yake.

  3. Nazidi kujiridhisha kwamba huyu dada ana matatizo. Anahitajika mtaalamu wa psychology amsaidie na sio msaada wa watanzania wa mil 15, hizo mil 15 atachangiwa, atakwrnda kununua sperm za Neymar lakini matatizo yatabaki palepale ila kama atatafutwa psychologist na kumsaidia itakuwa tiba kwake. Na hiyo yote inatokana na kujifanya matawi ya juu, unatongozwa na wanaume lakini unajifanya matawi ya juu unawakataa, hayo ni mafuta na ashki zinamsumbua hakuna kingine. Yale mambo ukiyakosa kwa muda mrefu unakuwa kama chizi, waulize ambao wamechelewa kuoa au kuolewa na kuwa single kwa muda mrefu watakwambia. Ile kitu lazima uipate haijalishi ya tajiri au masikini, wadada muache dharau

  4. Ukitaka asali bila tahadhari matokeo ni hatari! Off-coz hakuna jipya chini ya jua! Diva kutaka mtoto ni jambo zuri ila ingekuwa vzr akampata mume wakafunga ndoa,ili ktk mpango wake wawe wote! Some time so kwamba hela itakufanyia kila kitu. Dunia ni mapito! Kupata na kukosa yote ni majaliwa.

  5. Kumbe anao uwezo was kununua mbegu za neymar akapandikizwa akapata mtoto sasa hiyo michango anaitaka yakaz gan pesa yng km haina kaz si bora nipeleke kanisan,alaf anajiita boss lady sasa boss lady nakuchangishana tena wapi na wapi

  6. Atakufa na ndoto za kijinga.. shida Ana fake hadi mawazo yake.😚😂😂😂 Waarabu na pesa zao hawatoi mahari ya 500milion alafu diva anatak hizo.. tunakoelekea tutasikia anaishi na mtu n mimba juu kajipeleka mwenyewe

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents