Michezo

FIFA imetangaza viwango vipya vya soka 2016

List ya viwango vipya vya soka ulimwenguni imetangazwa March 3 2016, FIFA imetangaza viwango hivyo vya FIFA na nchi ya Ubelgiji ambayo anacheza soka la kulipwa mtanzania Mbwana Samatta ipo nafasi ya kwanza ikufuatiwa na Argentina.

12

Tanzania ipo nafasi ya 125 ukilinganisha na miezi miwili nyuma ilikuwa 126 huku kwa upande wa nchi za Afrika Mashariki Uganda imeendelea kuongoza kwa kushika nafasi ya 67 , Rwanda ipo nafasi ya 85 na Kenya ipo 103 ambapo kwa Afrika nzima Ivory Coast ndio wanaongoza huku kwenye list ya dunia wakishika nafasi ya 36.

Hii hapa ndiyo orodha ya Fifa ya mataifa bora Afrika Machi 3 2016:

1. Visiwa vya Cape Verde
2. Ivory Coast
3. Algeria
4. Ghana
5. Tunisia
6. Senegal
7. Misri
8. DR Congo
9. Congo
10. Cameroon

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents