Bongo Movie
First Look: Kava la filamu ya Van Vicker (Ghana) aliyoigiza Tanzania na Irene Paul, Hashim Kambi ‘Never Give Up’
Filamu ya Kitanzania iliyomshirikisha mshindi wa tuzo mbalimbali za filamu kutoka Ghana, Van Vicker iko mbioni kuingia sokoni. Katika filamu hiyo iliyofanyika nchini, Irene Paul, Hashim Kambi na Slim Omar wamehusika. Ilidhaminiwa na kampuni ya Proins Promotions. Hili ni kava la filamu hiyo.