Burudani

Flaviana Matata achumbiwa, Russell Simmons ampongeza

Flaviana Matata hayupo tena sokoni. Mwanamitindo huyo wa kimataifa amechumbiwa weekend hii.

10392400_540425379421833_3137762248934988221_n

Flavy ameshare habari hiyo njema kwenye mtandao wa Instagram kwa kuweka picha inayoonesha kidole chake cha chanda ambacho kimevishwa pete ya uchumba. “I said YES,” aliandika Flavy kwenye picha hiyo.

1599715_1494537294167510_1427309971_n

Mwanzilishi wa label ya Def Jam Records, Russell Simmons aka Uncle Rush ni miongoni mwa watu waliompongeza Flaviana.

“Congratulations to @flavianamatata. Engaged. Pay close attention to the ring fellas u blew it. My Lil daughter supermodel ms Tanzania is off the market lol,” ameandika Russell.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents