Burudani

Grace Matata aonesha kava ya ngoma yake mpya ‘Uwe Wangu’, inayotoka mwezi huu

Baada ya kimya cha muda mrefu na likizo ndefu ya uzazi, malkia wa R&B Soul nchini, Grace Matata anatarajia kukinukisha tena mwezi huu.

1497481_3931262058164_462814611_n

Muimbaji huyo wa zamani wa Mlab ataachia wimbo wake mpya uitwao Uwe Wangu uliotayarishwa na producer aitwaye Bunduki.

Pia hitmaker huyo wa ‘Free Soul’ ameonesha cover la single hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents