Harmonize alivyowaunga mkono wasanii wenzake viwanja vya sabasaba, Anunua ua kwa sh laki moja (+Video)

Hivi ndivyo ilivyokuwa tukio zima msanii wa Bongo Fleva @harmonize_tz na timu nzima ya @kondegang walivyotembelea viwanja vya Sabasaba siku ya jana na kukutana na wasanii mbalimbali ambao wana vibanda lakini pia kuwaunga mkono kwa kununua baadhi ya bidhaa zao ikiwemo Vitenge kwa @wolperstylish Perfume kwa @auntyezekiel movie kwa @gabozigamba maua Jezi na mengine mengi.

Related Articles

Back to top button
Close