Shuhudia mzee alivyopanda jukwaani na kutoka machozi kisa show ya Juma Nature (+Video)

Katika sikukuu ya Sabasaba ilifanyia moja ya show ndogo iliyowahusisha baadhi ya wasanii akiwemo Juma Nature Wakati @sir_nature Ana perform aligusa hisia za watu wengi sana na mmoja ya wasanii waliofika katika viwanja hivyo alipanda jukwaani na kuonyesha kuguswa na moja ya wimbo wa @sir_nature #Tatubila Pierre anogesha Show Nature asepa na kijiji.

Related Articles

Back to top button
Close