Michezo

Harry Kane anaamini atarudi uwanjani kabla ya muda aliopangiwa, mazoezi yake ni balaa (+ Video)

Straika na nahodha wa klabu ya Tottenham raia wa Uinereza Harry Kane ameonyesha kuimarika kwake kutokana na majeraha aliyoyapa mwanzoni mwa mwezi januari katika mchezo wao dhidi ya Manchester United.



Harry Kane kupitia ukurasa wake wa Twitter amepost clip fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi nchini Marekani na kuandika hivi:-

“Getting stronger every day. lots more work to do”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents