Burudani

Hilda Baci kufungua chuo

Mpishi maarufu nchini Nigeria aliyejulikana zaidi baada ya kuvunja rekodi ya kupika kwa muda mrefu Hilda Baci anatarajia kufungua chuo cha mapishi ambapo darasa la awamu ya kwanza linatarajiwa kuanza miezi michache ijayo.

Chuo hicho ambacho kimepewa jina la “Hilda Baci Academiy” kitafundisha capisci zaidi ya 160, huku akiweka wazi kuwa dhumuni la kufungua chuo hicho ni kutaka kuwasaidia wanawake ambao wanaamini kuwa kuna mafanikio katika kupika.

Hilda Baci alipata umaarufu mwaka 2023 baada ya kuvunja rekodi na kuingia katika kitabu cha rekodi ya dunia cha “Guinness World Record” (GWR) kwa kupika kwa massa 100 bila kupumzika aliivunja rekodi ya Alan Fisher ambaye alipika kwa siku nane sawa na masaa 199.

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents