Burudani

Wizkid awakataa wanigeria

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid ameukataa muziki wa Afrobeat kwa kudai kuwa yeye sio msanii wa Afrobeat huku akipiga marufuku kwa vyombo vya habari nchini humo kuposti album yake.

Wizkid kupitia Insta-Story yake ameshare ujumbe akieleza kuwa album yake mpya tayari imekamilika na itatoka hivi karibuni, lakini hataki mashabiki wamuite msanii wa Afrobeat huku akitilia mkazo kuwa hataki album yake hiyo kupostiwa na media pamoja na blog za Nigeria.

Muziki wa Afrobeats au kwa mina lingine “Afrofunk” ni aina ya muziki wa Kinigeria ambao unahusiana na mchanganyiko wa mitindo ambao unahusiana na muziki wa kitamaduni wa Kiyoruba na Igbo.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents