Burudani

Idadi ya watazamaji wa Tamthilia ya Empire yapungua kwenye episode ya pili, 50 Cent ampiga dongo Cookie

Tamthilia ya Empire ilianza msimu wake wa pili kwa kishindo kwa kuvunja rekodi ya Fox kwa kupata watazama zaidi ya milioni 16 katika episode ya kwanza iliyoruka Sept.23.

empire-season-2-guest-stars-kim-kardashian-justin-bieber-more-want-a-role

Hata hivyo watazamaji wa episode ya pili iliyoruka Jumatano iliyopita wamepungua kutoka milioni 16 waliotazama episode 1 hadi kufikia milioni 13.7 walitazama episode 2, japo bado ni idadi kubwa.

Curtis “50 Cent” Jackson, rapper na executive producer wa tamthilia ya ‘Power’ amewa ‘mock’ Empire kwa kushare post ya page ya @industryonblast_ iliyosema kuwa kilichosababisha watazamaji wapungue kutoka kwenye idadi ya waliotazama episode ya kwanza ni kuwepo kwa mastaa wengi pamoja na mambo ya ushoga katika tamthilia hiyo.

“There are 3 million less viewers who tuned into last night’s Empire episode!!!! did you watch it? We could not take the extra gay stuff or celebrity stuff last night!!!!”

50 Cent alisindikiza na dongo kwa Cookie kwa kuandika;
“EMPIRES TV RATINGS TOOK A HUGE HIT. Ok I’ll stop now. COOKIE CALL ME BABY. I’ll tell every body to watch the show for you. LOL,”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents