BurudaniVideos

Video: Sam Smith – Writing’s On The Wall (from Spectre)

Msanii wa Pop kutoka Uingereza Sam Smith… Adele alishawahi kutoa wimbo ambao ulitumika kama soundtrack kwenye movie ya 007 James Bond mwaka 2012, na safari hii.
Sam Smith ametoa wimbo unaitwa ‘Writing’s on the Wall’ ambao ndo official soundtrack kwenye movie ya James Bond ‘Spectre’ inayotegemea kutoka tarehe 6 November mwaka huu single hii ipo kwenye chati za muziki huko Uingereza wimbo huu umekamata nafasi ya #1 ndani ya wiki chache tu!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents