Habari

INDIA: Zaidi ya watu 13 wapoteza maisha zaidi ya 25 wanasa kwenye kifusi baada ya ghorofa kuporomoka (+Video)

Imearifiwa kuwa zaidi ya watu 13 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 25 wakihofiwa kuwa wamenasa kwenye kifusi baada ya jengo lenye urefu wa ghorofa 3 kuporomoka India.

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi na Waziri wa Mambo ya Ndani Amit Shah wametuma salamu za rambirambi zao juu ya tukio hilo mbaya na kueleza kuwa.

“Kulikuwa na nyaya za umeme kwenye ghorofa ya chini ya jengo zilizopelekea watu kutokandamizwa ambapo tumeambiwa kuwa wafanyakazi na watu wengine wanaaminika walikuwa wamelala wakati jengo lilipokuwa linaporomoka Kulingana na maelezo yaliyotolewa na wenyeji, wakieleza kuwa watu 20 hadi 25 bado wamenaswa ndani ya vifusi,”

Kikosi cha Kitaifa cha Kukabiliana na Maafa, ambacho kinafanya shughuli za uokoaji na misaada pamoja na vikosi vingine vinaendela na shughuli ya uokoaji.

https://www.instagram.com/tv/CFbjrnRg4or/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents