HabariTechnology

Infinix Note 30 kuzinduliwa mwezi Juni (+Video)

Infinix Tanzania yaashiria ujio wa simu mpya nchini, tayari kampuni hii ya simu za mkononi imetupia picha mtandaoni uliombatana na ujumbe unaosema “Nambari Uno, unajua feeling ya kuwa namba moja wewe, tunakuja kubadilisha mtazamo kwenye Wireless charging #infinixmobiletz #NOTE30Series #SpidiKasi #comingsoon.”

“Eka video ambayo uttapandsha kwenye social media page zako”

Habari nyepesi nyepesi kutoka ndani, Infinix NOTE 30 kuzinduliwa katika hotel ya nyota 5 miongoni mwa wageni waalikwa ni wafanya biashara, kiongozi wa serikalini pamoja na wasanii wa Music wa kizazi kipya akiwemo Mario na wengineo.

Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali inasemekana Infinix NOTE 30 series kuja na mfumo wa wireless pot lakini pia inauwezo wa kugawa chaji kwa simu nyengine kupitia wireless pot lakini pia inasemekana teknolojia yake ya fast chaji ya wat68 + 50wat inajaza simu chaji kufikia asilimia 80 kwa muda wa dakika 30 tu hadi sasa ni simu pekee duniani yenye uwezo huu ambayo itapatikana duniani kote kwa gharama nafuu.

Kuhusu bei na sifa nyengine za simu hii tembelea @infinixmobiletz.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents