Bongo Movie

Irene Uwoya anaanda documentary ya maisha yake

Irene Uwoya anaanda documantary ya maisha yake.

Irene Uwoyo

Muigizaji huyo wa filamu, ameiambia Bongo5 kuwa ameona njia hiyo itamfanya awe mfano kwa wengine na kutoa funzo.

“Naanza kuandaa documentary ya maisha yangu, itakuwa kama historia ya maisha yangU, kuanzia nilikotoka mpaka sasa,” amesema Irene.

“Kwahiyo wataweza kujua maisha niliyopitia na wao wajifunze kwa sababu maisha niliyoanza nayo huko nyuma ni tofauti kabisa na niliko. Kwahiyo nimeona hili ni jambo jema kwa watu kujifunza.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents