Burudani

Iyo wa ‘Loving You’ aliyomshirikisha Diamond afunguka ukaribu wake na Wizkid (video)

Iyo mrembo wa Nigeria aliyemshirikisha Diamond Platnumz kwenye wimbo wake uliomtambulisha Afrika Mashariki ‘Loving You’ amefunguka ukaribu wake na Wizkid ambaye wote wapo chini ya meneja mmoja.

Iyo ameiambia Bongo5 kuwa japo yeye na Wiz wanasimamiwa na meneja mmoja lakini hawana ukaribu sana.

“No not really like you know Wiz, Wiz is the great guy like you know about we don’t have like a very close relationship. Yes I have to say that about but he’s cool you know I’m a big fan of his,” amesema Iyo.

“I listen to his songs, thing you know like every time I see him I tell him how great he is like you know you understand. But the same time when I signed under same record label people tend to like get that mixed up like you kno Wiz is the star boy, am the star girl,” ameongeza.

Iyo na Wizkid wanasimamiwa na meneja maarufu duniani Sunday ambaye amewahi kufanya kazi na mastaa kibao wa Afrika ambao hujawahi kufikiria.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents