Burudani

Izzo Bizness atoa maana ya ngoma yake ‘Saa Sita’ (video)

Msanii wa muziki, Bongo Izzo Bizness amefunguka maana halisi ya ngoma yake mpya ‘Saa Sita’.

Rapper huyo amesema watu wengi wamekuwa wakitafsiri ngoma hiyo tofauti na vile alivyokusudia.

“Ni wimbo wa mapenzi ambao unazungumzia msichana ambaye nimemuelew, nampenda nataka niwe naye na yeye akawa ananionyesha dalili zote za kuwa na mimi lakini hakunijubu lakini kila nikumuuliza jibu langu vipi ananiambia tukutane kesho saa sita,” amesema.

“Watu wengi walijua namaanisha chuchu saa sita siyo?. yeah, lakini imekuwa tofauti ndio maana ya sanaa nafikiri, nilichokuwa namaanisha ni kwamba kila ninapoomba jibu langu naambiwa kesho,” Izzo ameiambia Bongo5.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents