Mchambuzi mahiri wa soka @jemedarisaid amefunguka alichoambiwa na @privaldinho wakati walipokuwa Ikulu katika mualiko wa Rais Samia.
“Kijana wangu @privaldinho watoto hawa, alikuwa anajaribu bahati yake… tukasikia makofi hivi, simama Bin Kazumari nikamuuliza nini Rais wa @yangasc @caamil_88 anaingia nikamuambia umechanganyikiwa nini.”