Habari

JPM: Tuwaombee vijana wetu walioungua moto kule Kyerwa leo usiku, zaidi ya saba wamejeruhiwa (+Video)

Tuwaombee vijana wetu walioungua moto kule Kyerwa leo usiku wanafunzi wanaokadiriwa 10 na wengine zaidi ya saba wamejeruhiwa, 10 wamefariki, kwahiyo tusimame tuwaombee roho zao zipumzike kwa amani”

“Tani moja ya ndizi ukitumia Barabara unalipa 127,000, ukipitia kwenye Meli ni Sh 27,000, maana yake tumeongeza uchumi kwa wananchi wanaofanya biashara na tunapeleka utajiri kwa wananchi na wafanyabiashara”

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents