Mahojiano

Juma Lokole amjibu Mwijaku baada ya kusema amepewa simu Wasafi halipwi mshahara na Diamond, Kama analipwa aonyeshe salary slip yake – Video

Juma Lokole amjibu Mwijaku baada ya kusema amepewa simu Wasafi halipwi mshahara na Diamond, Kama analipwa aonyeshe salary slip yake - Video

Mtangazaji wa Wasafi Fm @jumalokole2 amemjibu mtangazaji wa Classic Fm @mwijaku baada ya kusema @jumalokole2 kwenda Wasafi Fm amehongwa Simu na @diamondplatnumz .

Mbali na hilo @mwijaku alisema kama kweli @jumalokole2 analipwa mshahara basi amuonyeshe Salary Slip yake ya malipo na haya ndio majibu ya @jumalokole2.

Hii ilikuwa Interview yetu na Mwijaku kuhusu tuhuma hizo na pia kuhusu Tanasha kuachana na Diamond.

Kuhusu Diamond kuachana na Tanansha Mwijaku aliahidi kuwa Diamond hawezi kuao.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents