Mahojiano

Aliyekuwa Pruducer wa Harmonize Bonga, Aeleza kilichopelekea kuacha kufanya kazi na Harmonize – Video

Aliyekuwa Pruducer wa Harmonize Bonga, Aeleza kilichopelekea kuacha kufanya kazi na Harmonize - Video

Producer alikuwa akifanya kazi na @harmonize_tz kwa zaidi miaka minne @officiallbonga amefunguka kwa upana zaidi jinsi alivyokutana na @harmonize_tz mpaka alipoamua kuacha kufanya nae kazi.


@officiallbonga ameongeza kuwa yeye alikuwa na maelezo ya kikazi na @harmonize_tz ya kufanya nae kazi na ilifika wakati akamwambia yeye anataka kufanya kazi kivyake na Harmonize hakuweza kumkatalia, Kwa sasa @officiallbonga amejiingiza kwenye muziki na kuwa msanii hadi hivi sasa ameachia ngoma inaitwa ‘BASI’

Kama hujaifuatilia Interview yetu na Mayunga msanii aliyefanya kazi na Akon hii hapa chini

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents