Michezo

Jumanne na Jumatano Unazimalizaje Bila Kubeti Mechi za UEFA ukiwa na Meridianbet?

Hatimaye Wiki hii Ligi ya mabingwa inarejea ambapo leohii itapigwa michezo miwili Manchester City dhidi ya RB Leipzig, na FC Porto dhidi ya Inter Milan ya Simone Inzaghi.

Pep Guardiola na City yake hawajawahi chukua kombe hili namara ya mwisho ambayo alifika Fainali alipoteza dhidi ya The Blues sasa yupo hatua ambayo anahitaji ushindi pekee ili aenderobo fainali. Mechi tatu za mwisho kukutana kila timuimeshinda mechi moja moja huku moja wakitoa sare City ambapo alikuwa ugenini.

 City wanahitaji ushindi dhidi ya  RB nani atamzuia Haalandkutupia mabao leo, De Bruyne zile assist zake za ligiatazihamishia huku? Basi muda utaongea vizuri kwakitakachotokea pale Etiha leo. Bashiri mubashara kupitia duka la ubashiri la Meridianbet.

Huku ukiwa unawaza utaweka machagupo gani mechi hiyo, Inter atakuwa mgeni wa FC Porto huku akiwa na faida ya baomoja ambalo alilipata mechi ya kwanza walipokutana kuleGiuseppe Meazza.

Nani unamuona hapa ataweza kukupatia kitita cha pesa hukuhapa kinachohitajika ni magoli tu ili timu iweze kwenda hatuanyingine kweye michuano hii ambayo ni ndoto ya kila timukubwa kuchukua?

ODDS KUBWA zinapatikana ndani ya Meridianbet pekeeambapo si hlo tu bali hata machaguo ambayo unaweza kuyapatani zaidi ya 1000. Unasubiri nini ingia na ucheze sasa.

Kesho pia nayo ni siku kuna watu hupena kushinda [pesa kubwahivyo basi unaweza ukabeti mechi zako za leo na kesho, ambapohapo kesho sasa viwanja viwili vitatimua vumbi hatari. Ninikitasababisha vitimue vumbi? Basi ni mechi ya kisasi kwaLiverpool dhidi ya Real Madrid ambao ndio mabingwa wateteziwa Kombe hili baada ya kumtwanga huyo huyo Klopp.

Wakakutana tena mechi ya kwanza Majogoo wa Anfieldwakashindwa kufurukuta wakachezea kichapo kingine. Je keshounadhani majogoo watachezea zingine tena. Kwenye mpira kunamatokeo ya ajabu sana ambayo watu hushangazwa nayoyanapotokea. Mfano kupindua meza kwa timu ambayoimefungwa sita mbili, tano mbili na mengineyo.

Kama wewe unataka kubeti utampa nani bashiri yako iliakupatie mkwanja unaouhitaji? Nenda Meridianbet ODDS KUBWA kwa timu hizi zipo kilichobaki ni wewe tuu kusukajamvi lako na kubeti.

Meridianbet hawakuachi hivi hivi wana kasino ya mtandaoniyenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker naRoulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa. Bonyeza hapa kuona machaguoZaidi na mchanganuo wa odds kubwa bashiri mubashara.

Napoli atamenyana dhidi ya Eintracht Frankfurt ambaye ndiyebingwa mtetezi wa Ligi ya Europa, na kupitia Europa amewezakushiriki michuano hii ya Klabu Bingwa Ulaya huku mechi yakwanza akipoteza mbele ya vinara hao wa Serie A nyumbanikwake. Je leo hii atafanya nini?

Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Napoli akiwa na ODDS ya1.50, sare ikiwa na 4.31, Ushindi kwa Frankfurt ukiwa na ODDS ya 6.07. Kwa ukubwa huo wa ODDS nani kuondoka na ubabeleo?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents