Habari
Video: Jimmy Mafufu aibuka mbele ya Waziri ukatili kwa Wanaume “Tunarekodiwa video”
Msanii wa filamu @jimmymafufu ameibuka mbele ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum @gwajimad kuhusu wanaume kufanyiwa ukatili mkubwa hali ambayo inawafanya wapandwe na kichaa.
Ameyasema hayo Jumanne hii wakati Mhe Waziri Gwajima akizindua mkakati wa kupambana na ukatili na kutangaza fursa mbalimbali kupitia kampeni ya Twende Pamoja chini ya @fagdi_ambassadors .