HabariMichezo

Kafungwa Wenger sita bila, sare powa tu – Klopp

Klopp baada ya kutoka sare tasa ya bila kufungana na Chelsea amedai kuwa ameyapokea kwa moyo mmoja matokeo hayo.

Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari, Klopp amesema kuwa Arsene Wenger aliwahi kufungwa 6-0 kwenye mchezo wake wa 1,000 hivyo kwake sare ya 0-0 anafurahi.

“Nimesikia Arsene Wenger alipoteza mchezo wake wa 1,000 kwa 6-0 , ninafuraha hayakunitokea,” – Klopp

Mechi ambayo Jurgen Klopp amekumbushia ni ya mwaka 2014, wakati Chelsea ikiongozwa na Jose Mourinho na kuifunga Arsenal magoli 6-0.

Imeandikwa na @fumo255

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents