Technology

Kampuni ya simu ya Tecno yazindua simu mpya, Camon 18 (+ Video)

Usiku wa jana kampuni ya Simu ya Tecno imezindua simu zao mpya aina ya CAMON 18. Katika uzinduzi huo wameeleza namna ya ufanyaji kazi wa simu hiyo lakini ubora wake kwani inaweza kushot mpaka movie kutokana na ukubwa wa storage yake.

Mbali na hilo #CAMON18 imekuwa simu ya kwanza kuwa na sifa ya GIMBAL CAMERA.

Related Articles

Back to top button