Burudani

Kauli ya kwanza ya Msanii Maua Sama baada ya kutolewa mahabusu kwa Dhamana

Kauli ya kwanza ya Msanii Maua Sama baada ya kutolewa mahabusu kwa Dhamana

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Maua Sama ameweza kufunguka na kueleza jinsi alivyopitia katika kipindi kigumu akiwa mahabusu. Maua Sama alikamatwa na Polisi wiki mbili zilizopita kwa tuhuma za kuidhihaki pesa ya Tanzania kwa kupost video inayoonesha watu wakizichezea pesa za kitanzania.

Juzi tarehe 25 Maua Sama na mtangazaji wa CloudsFm Soudy Brown waliachiwa majira ya saa moja usiku kwa dhmana.

Na hii ndio kauli yake:-

Maua Sama alikamatwa na jeshi la Polisi pamoja na mtangazaji wa Clous Fm anayejulikana kwa jina la Soudy Brown kwa kosa hilo moja.

By Ally Juma

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents