Burudani
Kazi ya Lovy Longoma yatajwa kuwania tuzo za Grammy
Mmoja wa ndugu wa Longombas, Lovy, anayeishi Marekani akifanya kazi kama producer, amepata nomination ya kwanza ya Grammy, thanks kwa kazi aliyomtengenezea Iggy Azalea.
Lovy ni mmoja wa timu ya watayarishaji waliopika wimbo wa Iggy Azalea, ‘Change Your Life’, ambayo T.I. ameshirikishwa.
Iggy ametajwa kuwania vipengele vinne ukiwemo wimbo huo.\
Daily Nation, Kenya