Mahojiano

Khadija Kopa: Diamond anawasapoti sana wasanii anacheza nyimbo zao kwenye media yake, wamuunge mkono akalete tuzo ya BET (+ video)

Mkongwe huyo wa Taarabu pia amezitupia lawama media za Tanzania bara kuacha kucheza nyimbo za wasanii wa Zanzibar haliyakuwa wasanii wa bara wanachezwa Zanzibar. pia ameongeza Diamond anawasapoti sana wasanii anacheza nyimbo zao kwenye media yake, wamuunge mkono akalete tuzo ya BET.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents