Burudani

Kila mshindi wa SZIFF kulamba tsh milioni 5 kwa kila kipengele atakachoshinda (Video)

Kila mshindi ataondoka na kitita cha tsh milioni 5 kwa kila kipengele atakachoshinda katika usiki wa kilele cha tuzo za SZIFF waofanyika Februari 23 mwaka 2019.

Jokate Mwegelo ambaye ni mlezi wa tuzo za SZFF akizungumzia namna tunzo hizo zinavyoweza kuwanufaisha Watanzania, alisema tuzo hizo ni fursa kwa kuwa zinakwenda kuwagusa wasanii wengi wachanga na wakubwa katika tasnia ya filamu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents