Technology

KLM lawa shirika la kwanza la ndege duniani kuruhusu booking kwa njia ya Facebook na Twitter

Kampuni ya KLM Royal Dutch Airlines imetangaza huduma mpya itakayowaruhusu abiria kufanya booking, kununua tiketi kwa njia ya Facebook na Twitter.

klm-social-payments

Kampuni hiyo ya Uholanzi, imefanya mchakato wa kukata tiketi kuwa rahisi zaidi ambapo abiria wanaokubali kuzungumzua booking kwenye mitandao ya kijamii watapokea ujumbe binafsi kupitia Facebook au Twitter.

Taarifa hizi zitawapeleka kwenye link inayotumika kufanya malipo na yakifanyika watumiaji watapokea ujumbe kuwaambiwa kuwa malipo yao yamepokelewa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents