Michezo

Kocha wa bondia, David Haye ajaza umati kwa viatu vyake (+Picha) 

Kocha Ismael Salas ameonekana kivutio mbele ya kadamnasi ya watu baada ya kuvaa viatu vizito na vilivyopanda hewani wakati akimpatia mafunzo bondia wake, David Haye Jijini London.

Salas ambaye ni kocha mkongwe ameonekana kwenye mitaa ya London hii leo siku ya Jumatano akiwa anampatia mafunzo, Haye ambaye anajiandaa na pambano lake la marudiano dhidi ya Tony Bellew mchezo wa uzito wa juu utakao pigwa siku ya Jumamosi usiku.

 

Huu ndiyo muonekano wa viatu alivyovaa kocha wa mwanamasumbwi David Haye

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents